Awali Hoteli hiyo watalii walilipa zaidi ya elfu 50 za kitanzania kwa usiku mmoja ambapo kwa sasa itatumika na wahamiaji hao wakati masuala yao yakishughulikiwa
Hivi karibuni Rwanda na Uingereza ziliingia makubaliano ya kupokea wahamiaji ambao wanatokea nchini Uingereza ambao watakaa nchini hapo hadi masuala yao yatakapopatiwa ufumbuzi na kurejea katika nchi zao