Msanii Feza Kessy
Mtanzania huyo amekaribishwa leo kupitia ukurasa rasmi wa instagram wa Bangalee na lebo hiyo na anakuwa msanii wa kwanza wa kike.
Feza aliyekuwa Miss Dar City Centre na Miss Ilala mwaka 2005, alifanya vizuri na nyimbo kama “Amani ya Moyo na My papa” huku kiwataja wasanii Toni Braxton, Rihanna, Lauren Hill, Tiwa Savage na 2 Face kuwa ndio wanamvutia sana.