
Usiku
Aidha Wizara hiyo imesema kuwa wizara ya Afya imesema mpaka sasa hakuna dawa yeyote iliyopo nchini inayotibu au kukinga Maambukizi ya Virusi vya Corona na kuwataka wananchi kutotumia dawa kiholela.
Kupitia taarifa yake iliyotolewa kwenye Vyombo vya habari imesema kuwa "hadi sasa hakuna dawa inayoweza kutibu, kukinga ugonjwa huu, ila zipo zinaweza kusaidia kutibu Mgonjwa akiwa kwenye hatua fulani kwa ushauri wa Daktari"
Soma taarifa kamili hapo chini