
Msanii wa Muziki wa BongoFleva Dully Sykes
Dully ameyasema hayo leo Disemba 17, 2019, kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio, wakati anatoa maelezo ya uwepo wa picha ya Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Unajua mbali na kuimba mimi pia ni shabiki wa wasanii wa aina tofauti na muziki, kuanzia HipHop, Jazz, tukija kwa Wema mimi namchukulia kama pambo, yule ni Miss Tanzania mwenye ushawishi mkubwa miongoni mwa Mamiss wenye ushawishi, kama yeye haina maana simkubali Joketi au wengine hapana." amesema Dully Sykes
Aidha Dully aliendelea kusema "Wema namkubali sana namuita mwanangu ananiita Baba yaani hata akija Rihanna au Jennifer Lopez wakimuona Wema"
#HABARI Msanii wa Muziki wa BongoFleva Dully Sykes ,amesema mtu yeyote atakayesema Wema Sepetu sio mwanamke mzuri atakuwa na tatizo la utindio wa ubongo.
Source : #PlanetBongo pic.twitter.com/SROF2VNIIs
— East Africa Radio (@earadiofm) December 17, 2019