Mhandisi Suleiman alikuwa na utaratibu wa kuogelea kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake mbalimbali.
Taratibu za mazishi zinafanyika na atazikwa leo jioni ya ya leo majira ya saa kumi jioni katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.