Ijumaa , 11th Sep , 2015

Katika kipindi hiki ambacho mgawanyiko wa wasanii walioweka wazi misimamo yao kisiasa unaonekana dhahiri, msanii wa muziki AT ameibuka na kueleza kuwa, kuna umuhimu wa pande zote kufahamu kuwa, kutofautiana ki itikadi ni jambo la kawaida kabisa.

msanii wa muziki nchini Tanzania AT

AT amewataka wasanii wenzake na mashabiki pia kusimamia katika pande wanazoziamini kwa uhuru, na kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote pindi uchaguzi utakapopita kwa amani.

Kupitia mahojiano tuliyofanya na star huyo, anaweka busara zake wazi hapa;