
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Madini Doto Biteko, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza Antony Dialo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali, akikata utepe kuzindua Kiwanda cha kusafisha Dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery Limited kilichopo Sabasaba mkoani Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.

Wachezaji wa Denmark wakimkinga mwezao Christian Eriksen alipodondoka kiwanjani

Picha ya msanii Young Lunya na Irene Uwoya

Prof. Mwesiga Baregu, enzi za Uhai wake.

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi Kilele ya mazao ya maua na mboga mboga (TAHA), Dkt. Jacqueline Mkindi wakikagua mashamba ya maua na mboga mboga wilayani Arumeru Mkoani Arusha.

Picha ya msanii Dayna Nyange na Davido

Emmy Mutaboyerwa (katikati) na wanaye Daniela na Damita Mutaboyerwa.

Michezo mitatau ya Euro 2020, kuchezwa leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan