Jumatano , 22nd Jun , 2022

Ni vituko vya wachekeshaji wanaojiita wachambuzi wa mchongo Ganslay na Headmaster Tz wakizungumzia sakata la usajili linaoendelea kwa Klabu za Simba na Yanga. 

Picha ya Ganslay na Headmaster Tz

Katika wachezaji waliowazungumzia ni Aziz Ki, Miquissone, Victor Akpan na Lazarous Kambole.

Zaidi tazama hapa kwenye video.