Jumatano , 28th Jul , 2021

Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Simba imetangaza kuachana na Mkuu wa idara ya Habari na mawasiliano wa klabu hiyo Haji Manara na nafasi hiyo kwa sasa ataikaimu EzekieL Kamwaga kwa muda wa miezi miwili.

Haji Manara

Kwa taarifa iliyotolewa na Simba imesema kuwa bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imeridhia matakwa ya Haji manara yakutoendelea kuhudumu katika nafasi ya Msemaji wa klabu.

hii hapa taarifa rasmi ya Simba SC.