
Hayo yamewekwa wazi na Afisa Habari wa Parimatch Tanzania na Ismael Mohamed wakati alipokuwa akizungumza kwenye hafla fupi ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kutoka katika droo ya tatu ya shindano la Chomoka na Ndinga.
Aidha, Ismael amesema hadi sasa wameshatoa zawadi ya simu 36 kwa washindi kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania pamoja na bodaboda 8 mpya kabisa kutoka Hero Hunter zenye ukubwa wa 125cc.
Washindi wa wiki ya pili ni Neema Tairo kutokea Sinza na Passian Kika kutokea Mabibo na washindi kwa wiki ya tatu ni Ahmad Omary kutokea Dar es Salaam pamoja na Kelvin Mansoor kutokea Musoma.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Bwana Erick Gerald ameonesha kufarihishwa kwa ushindi wa Bi. Neema Tairo ambaye amekuwa mshindi wa kwanza kujishindia bodaboda tokea kuanza kwa mashindano hayo.
“Ushindi wa Bi Neema unaonesha kuwa sasa michezo ya kubashiri inazidi kushika kasi na inazidi kukubalika katika jamii, hii ni motisha kwa wanawake na mabinti wote ambao walidhani michezo hii ni kwaajili ya wanaume tu. Parimatch Tanzania wametoa fursa hii kwa watanzania wote, haijalishi jinsia, kama una umri wa miaka 18 na kuendelea jukwaa ni lako kujaribu bahati yako leo. Tembelea www.parimatch.co.tz na uweke mkeka wako, zimebaki wiki chache lakini zawadi ni nyingi sana na hapo bado kuna zawadi kubwa ya gari kutoka Toyota!” alisema Erick.
Kwa wiki tatu sasa Parimatch kupitia droo yake ya Chomoka na Ndinga, wamekua wakitoa zawadi za simu janja mbili kila siku na pikipiki mbili kila wiki. Droo hiyo itafikia tamati wiki ya sita ambapo atatangazwa mshindi wa zawadi kubwa ya gari mpya kutoka Toyota! Tofauti na kampuni nyingine za kubashiri, Parimatch inakupa zawadi kwa kuweka ubashiri tu, bila kujali kuwa ubashiri wako umefanikiwa ama la. Nafasi yako ya ushindi inaongezeka unapobashiri zaidi.
Kwa upande mwingine, Kampuni ya Parimatch ndio kinara wa michezo ya kubashiri mtandaoni na imekuwa ikitoa ofa kubwa ya bonasi ya 100% mpaka TZs 1,000,000 kwa wateja wapya wanaojiunga nasi! Parimatch imekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 2019, ikitoa huduma nzuri ikijumuisha malipo ya haraka, odds kubwa na promosheni za kusisimua kwenye soka, Kasino na Michezo ya virtual. Mbali na soka, kampuni ya Parimatch pia hutoa mamia ya matukio kila siku kwenye tenisi, UFC, mpira wa vikapu, Kriketi, baseball na michezo mingine mingi ya Live na pre-match.