Jezi ya Taifa Stars na nembo ya TFF
Taarifa hiyo imethibitishwa na uongozi wa klabu ya Tanzania Prisons kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Taarifa zinasema kuwa maziko yanatarajia kufanyika Jijini Dar es Salaam.
Aliyewahi kuwa mchezaji wa Tanzania Prisons ya Mbeya na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Said Mtupa amefariki dunia kwa ajali ya piki piki eneo la Iwambi mkoani Mbeya.