Alhamisi , 12th Jan , 2017

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kikosi chake kilikuwa na bahati kufungwa bao 1-0 ugenini dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la EFL

 

Wekundu hao, hawakuonesha uwezo wowote kwenye mchezo huo, na wanatakiwa kubadili matokeo kwenye mchezo wa marudiano Januari, 25, mwaka huu, endapo wanahitaji kusonga mbele.

Inawezekana ikawa 2-0, 3-0. Kitu muhimu kwetu ni matokeo. Tunajua kuwa tunaweza kucheza vizuri Anfield". Alisema Kloop.