
Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda
Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani humo amesema kuwa vigodoro vimekuwa vikisababisha madhara makubwa kwa jamii na kupelekea tabia za ubakaji kukithiri kwa namna ambavyo wanawake wamekuwa wakivaa nguo zisizo na stara.