Watumishi wanaoshiriki mashindano ya 37 ya Shirikisho la Michezo la Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) hifadhi ya Ruaha.

7 Oct . 2023

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni Maalumu ya ‘Tutunzane Mvomero‘ yenye lengo la kuepusha migogoro baina ya wakulima na wafugaji wilayani Mvomero mkoani Morogoro.

7 Oct . 2023

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa zawadi kwa mmoja wa wahitimu waliofanya vizuri katika mafunzo ya awali ya Maafisa Uchunguzi na Wachunguzi Wasaidizi wa TAKUKURU katika Shule ya Polisi Tanzania, mjini Moshi.

7 Oct . 2023

majeneza yaliyobeba miili ya watoto

6 Oct . 2023

Mwadhama Kardinali Protase Rugambwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango

6 Oct . 2023