Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Azam yatangulia fainali Kombe la Mapinduzi

Jumanne , 10th Jan , 2017

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kutangulia fainali katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar baada ya kuichapa Taifa Jang'ombe bao 1-0 katika mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza uliomalizika hivi punde.

Kikosi cha Azam

Bao la Azam katika mchezo wa leo limefungwa na kiungo wake 'Chumvi' Frank Domayo katika dakika ya 33 ya mchezo kufutia ubunifu binafsi wa kukimbiza mpira na kumchambua golikipa wa Taifa kwa shuti kali.

Pia katika hatua nyingine jopo la makocha limemchagua kiungo wa Azam FC na mfungaji wa bao Frank Domayo kuwa mchezaji bora wa mechi hiyo ambapo amezawadiwa kitita cha shilingi milioni 1.

Azam sasa itakutana Simba katika mchezo wa fainali utakaopigwa Ijumaa, tarehe 13, Januari

Wakati Azam ikitinga fainali, uongozi wa klabu hiyo leo jijini Dar es Salaam imemtambulisha kocha wake mpya ambaye ni Aristica Cioaba kutoka nchini Romania akiwa na uzoefu wa kufundisha vilabu kadhaa katika bara la Afrika.

 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala