
Melinda na Bill Gates
TMZ wameonesha namna kiasi hicho cha fedha kimepatikana, huku kampuni ya magari ya bilionea Bill Gates (Cascade Investment) imeripotiwa kuhamisha kiasi hicho cha fedha siku ya jumatatu Mei 3, siku ambayo walitalakiana.
Baada ya kiasi hicho cha fedha kuhamishwa taarifa zinasema utajiri wa Bill Gates umeshuka hadi kufikia $130.4 B, lakini bado inamuweka tajiri huyo kwenye nafasi ya 4 katika orodha ya matajiri wa dunia.