Jumatatu , 20th Nov , 2023

Mchuano ni mkali kwenye kujua nani anamuendesha mwenzake, kati ya maisha na wewe.

 

Pengine unahitaji utulivu wa nafsi na amani ya moyo unakosa kabisa kwa kuwa huna sehemu nzuri ya kuogelea, sasa hapa ndani ya UJENZI kupitia mtaalamu wa hizi kazi mwenye uzoefu karibu ya muongo mmoja hivi sasa Julius Lutta, kutoka @swahiliunits 

Hapa anafichua siri iliyofichwa kwa muda mrefu hivi sasa, kuhusu namna rahisi ya kuridhika na maisha kupitia samani ambazo utaweza kuzitumia kwenye eneo lako la kuogelea.

Usikose kutazama kipindi cha UJENZI kila siku ya Jumatano saa 3:00 usiku kupitia EastAfricaTv pekee.

Cc: @basilisa_john & @swahiliunits