Azma na rekodi ya views Mil 1 YouTube bila Robot

Ijumaa , 16th Jul , 2021

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini, Azma Mponda amejigamba kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza  wa Hip Hop kufikisha watazamaji zaidi ya milioni 1 kwenye mtandao wa YouTube bila hata ya kununua.

Picha ya Msanii Azma Mponda

Azma aliweka rekodi hiyo mwaka 2014 na huku akisema kuwa muziki wa hip hop kwa sasa umemezwa na mfumo ndiyo maana wasanii hao hawaonekani wakifanya vizuri kama ilivyo kwa wasanii wakuimba.

Itazame interview yote hapa