Ijumaa , 10th Jun , 2022

Kijana wa miaka 20 Nyanchew amejitetea kumuoa mke wake Dong Tu Banang mwenye miaka 40 kwa kusema ni mzuri na ana kitu cha kipekee ambacho mtu wa nje hawezi kujua.

Picha ya kijana huyo na mke wake

Akielezea kwanini amechagua kuoa mwanamke huyo aliyemzidi umri Nyanchew amesema

"Kama unavyotuona kwenye picha, huyu ni mwanamke mzuri ana kitu cha kipekee ambacho mtu mwingine hawezi kujua".

Ndoa ya wawili hao Nyanchew na Dong Dong Tut Banang ilifungwa siku za hivi karibuni Melbourne, Australia.

Chanzo ; Tuko News