Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Irene Uwoya aitwa Central Polisi

Ijumaa , 19th Jul , 2019

Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, Camilius Wambura, amethibitisha kumuita msanii wa filamu nchini,  Irene Uwoya na Steve Nyerere, kufuatia kitendo alichokifanya cha kuwarushia pesa, wanahabari katika  mkutano uliofanyika mapema mwa wiki hii.

Irene Uwoya

Kamanda Wambura amesema, walimuita na kumhoji siku ya Julai 17, ambapo alidhaminiwa na kutoka kwa dhamana huku Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi.

''Waliitwa kuja, walionekana kwenye clip moja, Yule Irene alionekana anatupa fedha, kwa wanahabrari, na alihojiwa na kudhaminiwa na uchunguzi mwingine unaendelea'' amesema Kamanda Wambura.

Ikumbukwe kuwa  siku ya Julai 15, Irene Uwoya, alionekana katika baadhi ya video zilizosambaa mitandaoni, akirusha fedha kwa wanahabari, kitendo kilichotafsiriwa kuwa ni udhalilishaji na Irene alikiri kukosea na kuomba radhi kupitia ukurasa wake wa Instagram.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto