Jumanne , 11th Apr , 2023

Mtangazaji na mdau wa mziki Dansi Rajab Zomboko amefunguka ratiba ya mazishi ya aliyekuwa msanii Hussein Jumbe ambaye atazikwa leo saa 10 jioni makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.

Picha ya Hussein Jumbe enzi za uhai wake

Zomboko amesema Hussein Jumbe alikuwa mtu wake wa karibu na chanzo cha kifo chake kimesababishwa na ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Zaidi msikilize hapa chini Rajab Zomboko akielezea kifo cha Hussein Jumbe