Jumatatu , 24th Oct , 2022

Msanii Young Dee amenyoosha maelezo juu ya mahusiano ya mpenzi wake wa zamani Cappuccino Tunda na msanii wa singeli Meja Kunta kwa kusema anapenda kumuona akiwa na furaha.

Picha ya Young Dee kushoto, kulia ni Tunda na Meja Kunta

Zaidi tazama akizungumzia kuhusu mahusiano ya mpenzi wake huyo wa zamani Tunda na Meja Kunta.