Jumapili , 27th Dec , 2015

Staa wa muziki nchini Witnesz The Fitness aka Kibonge Mwepesi amewashukuru mashabiki wake ambao wamekuwa nae katika kuusapoti muziki wake hasa baada ya kutoa video yake ya 'Buku Jero' .

Staa wa muziki nchini Witnesz The Fitness aka Kibonge Mwepesi

Mkali huyo pia ameandaa hafla kubwa ya chakula cha usiku maalum kwa wadau na mashabiki wake lengo kubwa ikiwa ni kukaa kwa pamoja kuongelea mafanikio katika biashara na mengineyo mengi.