UDE UDE (Enzi za uhai wake)
Marehemu ameacha mke na mtoto huku baadhi ya watu wake wa karibu pamoja na Bob Junior, Bonge la Nyau na muandaaji wa muziki wa Bongo Fleva Alonem ambaye ndiye aliyekuwa wa mwisho kufanya kazi wakiongoza mazishi.
Mungu awatie nguvu ndugu, jamaa pamoja na wadau wote wa tasnia nzima ya muziki wa bongo fleva nchini. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amin.



