Jumatatu , 4th Apr , 2022

Toto Bad @Marioo anasema mahaba anayofanyiwa na mpenzi wake mpaka anaogopa, hii imekuja baada ya mpenzi wake kumfanyia surprise ya maua na kumtumia ujumbe kwa kushinda tuzo ya msanii bora wa kiume wa BongoFleva na wimbo bora wa mwaka 2021.

Picha ya msanii Marioo

Ujumbe huo unaeleza kwamba "Congratulation Baddie, Best male artist and song of the year and now the real work begin. So proud of you love".

"Thanks my love, haya mahaba mwenzenu mpaka naogopa, hivi ndio vitu mzee wa bring back my family anavikosa" Marioo baada ya kupokea zawadi hizo.

Zaidi tazama hapa kwenye video.