Alhamisi , 6th Mei , 2021

Warner Bros na DC wameripoti kuwa filamu ijayo ya 'Superman'  itamzingatia Superman mweusi hii ni kwa mjibu  wa mwandishi wa Hollywood.

Superman mweusi

Warners na DC wamejitolea kuajiri mkurugenzi mweusi ili kuratibu shughuli zote za Superman ijayo akishirikiana na waigizaji weusi.

Mradi huo bado utakuwa ni mwendelezo wa hadithi ya Superman mweusi.