Snura
Snura amesema kuwa, mipango ya video ya kazi hiyo bado ipo chini ya carpet, akiwaahidi kuwashtua na kazi kali kama ambavyo ametisha katika Hawashi kuanzia muandishi aliyemtumia, producer Mesen Selekta na vilevile Ney ambaye amefanya naye rekodi hiyo.(HAWASHI)