Wasanii wanaoshiriki EATV Awards wakiwa kwenye semina
Semina hiyo imetolewa kwa makusudi ya kukumbushana sheria na vigezo vya kushiriki kwenye tuzo hizo zilizoandaliwa na EATV, pamoja na masharti mengine juu ya tuzo hizo.
Mratibu wa EATV AWARDS kutoka EATV Brendasia Kileo akizungumza kwenye semina hiyo
Mzee Chilo akizungumza
Msanii G Nako akiteta jambo na mmoja wa washiriki
Msanii Bright akifuatilia kwa makini semina hiyo
Bhoke Egina ambaye ni mmoja wa waratibu kutoka EATV akizungumza jambo
Muigizaji Kajala Masanja (Kushoto) akiwa na msanii mwenzake Stacy