Jumanne , 5th Oct , 2021

CEO wa lebo ya Next Level Music na msanii wa WCB Rayvanny Chui, amesema moja ya sifa ya boss wake Sallam SK ni kuwa meneja mtata.

Picha ya msanii Rayvanny kulia, kushoto ni Sallam SK

Rayvanny amesema hilo wakati anataja sifa za watu wake wa karibu kama Diamond Platnumz, Babu Tale, Esma Platnumz, Sallam SK, Official Nai, Mama Dangote, Queen Darlin, Romy Jones, na Anko Shamte.

Sifa zingine alizotaja kuhusiana na watua hao bonyeza hapa chini kwenye video.