Jumatatu , 18th Sep , 2023

Mwanamuziki Ruby amejibu kuhusu kupotezwa kimuziki kwa sababu ya kuwa na bifu na visasi kwa baadhi ya watu na wadau wa sanaa.

Picha ya msanii Ruby

Ruby ameiambia EATV Digital kuwa hajui kama ana kisasi wala bifu na mtu pia wanaomzungumzia mabaya kuhusu yeye hawamjui vizuri kiundani na akifika hatua ya kuongea basi humaanisha kweli.