Jumatano , 25th Oct , 2023

Show ya Super Bowl Halftime aliyofanya Rihanna February 12, 2023 inashikilia rekodi ya 'Guinness World Record' na historia ya Super Bowl kwa kutazamwa na watu wengi zaidi duniani kwenye TV ikiwa imeangaliwa na watu Milioni 121.

Picha ya Rihanna

Rekodi hiyo ya awali ilikuwa ilikuwa inashikiliwa na Katy Perry ambaye aliangaliwa na watu Milioni 118 kideoni kwenye Super Bowl halftime show mwaka 2015.

Tayari Usher Raymond ametajwa kuperforme Super Bowl halftime show mwakani 2024. Unadhani anaweza kufikia rekodi hizo walizoweka Rihanna na Katy Perry.