Picha ya Rick Ross na ndege yake
Rick Ross amefunguka hilo kupitia video hii aliyoshare kwenye 'Insta story' yake akieleza kuwa
"Natafuta mhudumu wa ndege yangu ni lazima uwe na uzoefu ,uwe mchangamfu na uwe vizuri katika kumuhudumia Ross".
Pia Rick Ross amebakiza mwaka mmoja tu kufikia level ya kuitwa Bilionea rasmi.