Ijumaa , 25th Sep , 2015

Familia ya rapa Fid Q inazidi kukua baada ya usiku wa kuamkia leo kujaliwa kupata mtoto wa kike ambaye amepatiwa jina la Fidelia, ambaye amezaliwa nje ya nchi.

Mtoto wa Fid Q aliyepatiwa jina la Fidelia akiwa na mama yake

Star huyo amesema kuwa, mtoto na mama yake mwenye asili ya Jamhuri ya Czech wapo katika hali nzuri na wanaendelea vizuri, binafsi akijisikia baraka kupata mtoto huyo wa pili baada ya Feisal.

Kuhusiana na kuzaliwa kwa mwanae huyo mpya hapa Fid Q anaeleza;