Jumamosi , 3rd Dec , 2022

Mrembo anayetishia na shepu yake nchini Poshy Queen ameweka wazi kumpenda msanii Marioo katika ufanyaji kazi wake pia ndio msanii wake bora kwa mwaka 2022.

Mrembo Poshy Queen akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari

Zaidi mtazame hapa chini Poshy Queen akimzungumzia msanii Marioo.