Jumatatu , 25th Mar , 2024

Superstar wa muziki Africa Davido OBO amesema alikutana na mke wake Chioma kipindi hana kitu mpaka sasa ana kitu.

Picha ya Davido na mkewe Chioma

“Nilikutana na mke wangu kabla sijakuwa na pesa. Tulianza na urafiki akiwa yupo Single, isingekuwa sawa kama ningekutana naye kama nilivyokuwa Davido huyu wa sasa hivi kwa sababu nina pesa”.

“Mafanikio yangu yote ya sasa yamekuja na watu ambao wamenizunguka kipindi sina kitu, hicho ni kitu kizuri sana”.