Jumatatu , 1st Aug , 2022

Msanii wa filamu nchini Getrude Mwita maarufu Kibibi amesema ipo siku anaweza akawa Rais wa Tanzania na kuitumikia Serikali kwenye upande wa uongozi.

Picha ya msanii wa filamu Kibibi

"Kuitumikia Tanzania kwa namna ya kuwa kiongozi hicho kitu ninacho na nafikiria baadaye inaweza ikatokea nikaitumikia upande wa Serikali, nani anajua naweza nikaja kuwa hata Rais" amesema Kibibi 

Zaidi mtazame hapa kwenye video akizungumzia hilo.