Kushoto ni Mwana Fa kulia ni Steve Nyerere
Zaidi tazama hapa Mwana Fa alichokisema kuhusiana na hilo.
Mbunge wa Jimbo la Muheza Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ametoa saa 48 kwa Shirikisho la Muziki Tanzania kufanya maamuzi ambayo yatawaridhisha wasanii kuhusu nafasi ya usemaji wa shirikisho hilo ambalo wamempa Steve Nyerere jambo lililoleta pingamizi kwa wasanii.
Kushoto ni Mwana Fa kulia ni Steve Nyerere
Zaidi tazama hapa Mwana Fa alichokisema kuhusiana na hilo.