
Kupitia ukurasa wake wa mtandao ''X'' ameweka picha hizi akiambatanisha na ujumbe unaosomeka ''wenye chuki wanaweza ku-post huyu aliyekushoto na kumpuuza huyu aliye upande wa kulia, Mwanaume anaweza kuwa mapito yake?''
Wanazengo wakawa wengi kidogo kwenye kulijadili hili comment zikawa nyingi pia kila mtu akielezea mtazamo wake kwa muonekano huu