Jumatatu , 9th Jan , 2023

Mume wa msanii wa filamu na mziki Baby Madaha Joe Kilumile amesema kabla hawajaona alikua anatumia Tsh Laki Tano kila anapokutana na Baby Madaha kwa muda wa miaka minne.

Picha ya Baby Madaha na mume wake

Zaidi tazama interview kamili hapo chini Baby Madaha na Mume wake wakifunguka zaidi kuhusu ndoa yao.