Ijumaa , 25th Apr , 2014

Msanii wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Mabeste ameamua kuonesha njia kwa wasanii wachanga na wale wote ambao wapo katika harakati za kupambana na maisha kutokukata tamaa na kujituma katika kazi zao ili kufikia malengo yao ya mafanikio.

Mabeste

Hii ni kupitia Documentary inayohusu maisha yake ambayo ametangaza kuizindua tarehe 27 mwezi huu, kazi ambayo amesema ndani yake itakuwa na mafunzo mbalimbali kwa kila ambaye atapata nafasi ya kuitazama.

Msikilize hapa akielezea zaidi....

Tags: