Oscar Pistorious
Wataalam zaidi wataitwa wakati mwanasheria wa Pistorius akijaribu kupangua hoja za mwanasheria wa serikali kuwa mwanariadha huyo alimuua kwa makusudi mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Pistorius amekuwa akikanusha kumuua kwa makusudi Reeva Steenkamp siku ya Valentine mwaka jana kwa kumpiga risasi akiwa amejifungia