
Producer Mr T Touchez
"Mimi wasanii wote niliowatengeneza kwenye hii game wapo strong, anza na Billnass, Darassa na Nay Wa Mitego, kwanza sijawahi kufanya kazi na msanii asipate pesa".
Mr T Touchez anasema sio kama anajigamba bali ni kuonesha uwezo wake wa kufanya kazi.