
Picha ya Kanye West kushoto kulia ni Cardi B
Moja ya clip video iliyovuja amesikika akimchana Cardi B akisema rapa huyo wa kike ni kama mmea amepandwa kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kwenye Game.
"Cardi B ni mmea, haandiki nyimbo zake za kufoka. Walimweka hapo kujaribu kuchukua nafasi ya Nicki Minaj kimakusudi. Anafikiri ni baraka kutoka kwa ulimwengu, sio baraka za kufurahisha" amesema Kanye West