Ijumaa , 11th Dec , 2015

Baada ya kutikisa anga za kimataifa na kazi yake mpya ya 'One More Night', staa wa muziki Jux amewataka mashabiki wake kukaa tayari kutazama kazi hiyo na vilevile kusikia kutoka kwake kuhusiana na maandalizi yake akiitambulisha katika shoo kali ya FN

staa wa muziki nchini Jux

Kwa kifupi kuhusiana na kazi yenyewe, Jux ameeleza kuwa ni kisa cha wapenzi, ambao wanatafuta muda zaidi wa pamoja baada ya kukutana kwa mara ya kwanza, na hapa anaeleza mwenyewe juu ya utambulisho wa kazi hii leo usiku hapa EATV pekee.