Jumamosi , 18th Jun , 2022

Staa wa filamu Irene Uwoya ametangaza kuolewa tena kabla ya mwaka huu 2022 kuisha kwa sababu yupo kwenye mahusiano mazito.

Picha ya Irene Uwoya

Tayari Irene Uwoya ameshaolewa na aliyekuwa mume wake marehemu Hamad Ndikumana na msanii Dogo Janja. 

Zaidi mtazame hapa kwenye video Irene Uwoya akizungumzia suala hilo la kuolewa kwa mara nyingine.