Ijumaa , 1st Jul , 2022

Msanii wa Kondegang Music Worldwide Ibraah rasmi ameichia Album yake ya kwanza "The King of New School" yenye ngoma 17 ikiwa hajamshirikisha msanii yeyote kutoka kwenyeb lebo yake.

Picha ya msanii Ibraah Tz

Kwenye Album hiyo ameshirikisha vichwa kama Maud Elka, Waje, Christian Bella, L.A.X, AV, Roberto na Bracket.

Album hiyo kwa sasa inapatikana kwenye mitandao wa Youtube, Spotify na Audiomack.