Jumanne , 5th Apr , 2022

First Born wa lebo ya Konde Gang Music World Wide Ibraah amemshauri Harmonize aheshimu hisia zake kuhusu kupigania kurudisha penzi lake kwa Kajala kama anavyoandika kwenye mitandao ya kijamii.

Kulia ni Harmonize na Kajala, kushoto ni Ibraah

Ibraah anasema anaona sawa kwa Harmonize kurudiana na Kajala pia hata ikishindikana ataliacha lipite tu.

Zaidi mtazame hapa akizungumzia sakata la Harmonize kutaka kurudiana na Kajala.