Msanii wa muziki nchini Tanzania Hisia
Staa huyo amesema kuwa, kupitia The Mingle wamekuwa wakichanganya ladha tofauti za muziki, Live Band na pia DJ, wakiwa wamejipanga kwa mwaka huu kufanya tukio la kwanza kabisa huko jijini Arusha hapo kesho.
Staa wa muziki Hisia, ameendelea kutumia muziki wake katika kuwaleta pamoja watu, akigusia ujio mpya wa The Mingle, tukio ambalo linahusisha burudani ya muziki sambamba na jukwaa la kukutanisha wadau na marafiki katika tasnia ya burudani.