Star wa Bongo fleva Hemedy Seleman
Akizungumza na Enewz Hemedy alisema kuwa mtoto ni baraka kutoka kwa mungu kwa hiyo yeye yupo tayari kwaajili ya kumlea mtoto huyo ambaye hakutaka kutaja jina la mama wa mtoto huyo ajae.
“karibuni tu natarajia kumpata mtoto tusubiri tu mapenzi ya mungu yatimie”,alisema Hemedy.



