Picha ya pamoja Harmonize kushoto na Alikiba kulia
Picha hiyo ameshea Harmonize kwenye page yake ya Instagram, imekuwa na likes na comments nyingi kwa muda mfupi na ku-trend mitandaoni.
Mashabiki wengi wametamani kuona collabo yao huku wengine wakidai picha hiyo imeeditiwa.